Compound Calcium Series
Nguvu Za Kipekee Za Compound Calcium Series
Kuimarisha mifupa, maungio ya mifupa (joints),tendons,ligaments na gegedu (cartilage) kwa njia nyingi tofauti.
- Calcium amino acid chelate inaweza kufyonzwa kirahisi zaidi kuliko calcium za namna nyingi zilizozoeleka
- Fish collagen peptides hujenga mihili ambayo juu yake calcium hujijenga
- Kwa kuwa na molekuli ndogo, collagen peptides huimarisha tendons na ligaments, na kwa hiyo kuongeza uimara wa joints
- Fish collagen peptides husaidia ukarabati wa gegedu iliyochoka katika joints
- Sodium hyaluronate hutunza afya ya gegedu kwa kutoa viritubishi na husaidia katika utengenezaji wa synovial fluid ambayo hufanya kazi ya kulainisha joints
- Vitamini A,D,E,K, madini ya chuma na zinc husaidia katika kujijenga upya kwa mifupa
Compound Calcium Nutrient Powder
Viungo:
Zymolytic Bone Calcium Powder, Fish Collagen Peptides, Sodium Hyaluronate, Vitamni A,C,D,K, Ferrous Lactate
Kazi na Faida zake:
- Kutoa nyongeza ya calcium ;
- Kuzuia na kuondoa osteoporosis ;
- Kuongeza ujazo wa mfupa na kuboresha uwezo wa kujikarabati wa mifupa;
- Kuboresha afya ya joints.
Yafaa kwa:
.Watu wazima wenye upungufu wa calcium
.Wanawake wanaonuia kuzuia kuvunjika kwa mifupa na/au matatizo ya joints
.Wanaume wanaonuia kuimarisha mifupa na joints zao
.Watu wazima wenye matatizo ya joints
.Wanawake wajawazito na wanaonyonyesha
.Wanawake waliokoma hedhi
Compound Calcium Nutrient Powder with Blood Sugar Support
Viungo:
p>
Isomaltooligosaccharide (IMO), Zymolytic Bone Calcium Powder, Fish Collagen Peptides, Sodium Hyaluronate, Vitamin A,K, Vitamin B1,B2, Pumpkin Powder
Kazi na Faida Zake:
- Kutoa nyongeza ya calcium;
- Kuzuia na kuondoa tatizo la osteoporosis;
- Kuongeza ujazo wa mifupa na kuboresha uwezo wa mifupa wa kujikarabati;
- Kuboresha afya ya joints
- Kuweka vizuri viwango vya sukari katika mwili.
Compound Calcium Nutrient Powder for Children
Viungo:
Zymolytic Bone Calcium Powder, Fish Collagen Peptides,Sodium Hyaluronate, Vitamin A,C,D,K, Yolk Powder, Iron, Zinc, Taurine, Whole Milk Powder, Puffed Rice Powder
Kazi na Faida Zake:
- Kutoa nyongeza ya calcium na kuzuia upungufu wa calcium kwa watoto;
- Kuongeza ujazo wa mifupa na kuboresha uwezo wa kujijenga wa mifupa;
- Kusaidia ukuaji wa watoto.
Yafaa kwa:
.Watoto wadogo
. Vijana wa umri wa balehe
<<<<< MWANZO